Tunamkaribisha kama mgeni wetu Bwana Godefroid Misenga Milabyo. Yeye ndiye katibu mtendaji wa kamati ya uongozi na elekezi ya mageuzi ya fedha za umma, COREF. Kama unavyojua, timu ya COREF iko Maniema kusaidia jimbo hili katika mageuzi ya fedha za umma, kama ilivyoombwa na Gavana wa Maniema, Mussa Kabwankubi Moise. Mgeni wetu Godefroid Misenga Milayo akiongea na Florence Kiza Lunga.
Godefroid Misenga Milabyo : Franga yote itumike kwa vipaumbele vya jimbo
Ebola Cases Surpass 4,000 in Democratic Republic of Congo
August 7, 2026
Ebola Death Toll Tops 1,800 in DRC
August 7, 2026